UTEKETEZAJI WA BIDHAA
Posted by tfdaakezone
Ofisi ya Kanda ya Ziwa imekua ikiteketeza bidhaa za chakula, dawa, vipodozi na vifaa tiba zisizofaa inazozikamata katika soko, pichani ni mazoezi tofauti ya uteketezaji wa bidhaa za chakula na dawa maliyofanyika katika dampo la Jiji lililoko Buhongwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Powered by Blogger.
No comments
Post a Comment