TFDA KANDA YA ZIWA IKISHIRIKIANA NA WAJUMBE WENGINE KAMA TRA,UHAMIAJI NA POLISI
Posted by tfdaakezone
Ofisi ya Kanda ya Ziwa ikishirikiana na wajumbe wengine kutoka katika ofisi mbalimbali kama TRA, Uhamiaji, Polisi n.k watakaotumia ofisi mpya zinazojengwa katika kituo cha mpakani Mtukula kama ‘One stop boader post
(OSBP) wakiwa katika ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa ofisi hizo ambapo mkandarasi aliahidi kuwa ifikapo mwezi April mwaka 2013 atakua amemaliza kazi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Powered by Blogger.
No comments
Post a Comment