Ofisi ya Kanda ya Ziwa katika kutekeleza mpango kazi wake wa mwaka
2011/2012 iliandaa semina ya waandishi wa habari kutoka katika vyombo vya habari mbalimbali katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa, ili kuweza kuwaongezea wana habari uelewa mpana kabisa katika kufahamu shughuli za Mamlaka
Pichani ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya chakula na Dawa
,TFDA aliyesimama na pembeni yake ni Mkururgenzi wa Dawa na Vipidozi, DMC akiwa anatoa maelezo ya utangulizi katika kufungua semina hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Nyakahoja,Manispaa ya Nyamagana Mwezi Julai Mwaka 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Powered by Blogger.
No comments
Post a Comment