Zeozi hilo lilifanyika tarehe 30/09/213 hadi tarehe 03/10/2013.Dawa zenye uzito wa Tani 1.6 thamani ya TZS19,698,855/-.mali ya Hospitali ya Mkoa wa Kagera,. uzito wa Tani 3.15.na thamani TZS93,118,589.05/-Mali ya Halmashauri ya Wilaya Bukoba na uzito wa Tani 6.0 na thamani TZS65,629,010/- Mali ya Halmashauri ya wilaya ya Karagwe zilizokwisha muda wa matumizi ambazo zimekusanywa kwa kipindi kirefu sana zaidi ya miaka kumi ziliteketezwa.
Pichani ni bidhaa za dawa na vifaa tiba zikiwa zinaandaliwa kuwekwa katika INCENERATOR kwa ajili ya kuteketezwa
.
Pichani ni bidhaa za dawa ambazo tayari zimeshaandaliwa kwa ajili ya kufukiwa katika ardhi.Dawa husika huchanganwa na chokaa na cement na kufanyika udongo mgumu tayari kufukiwa.
Pichani ni bidhaa za dawa ambazo zimetengwa na kufunganshwa tayari kwa kuchomwa.
Pichani ni Kikao cha Kamati ya kuteketeza bidhaa iliyoundwa na Mfamasia wa Mkoa,Mganga Mkuu wa Mkoa, Mhakiki Mali wa Mkoa, Afisa Usalama wa Taifa, Afisa wa Polisi, Mhakiki Mali kutoka Wizara ya fedha, Mwakilishi wa Mfamasia Mkuu wa Serikali , Mkaguzi wa Dawa Ofisi ya Kanda, TFDA, Afisa Afya wa Mkoa na wajumbe kutoka kwa Wafadhili (John Snow Inc)